ASSALAM ALAYKUM WAUNGWANA JAMANI.......................................
Baaada ya ukimya mwingi ,mara baada ya mwezi Mtukufu pamoja na Idd.....leo tumerudi tena.......
Ngoja niwape tena taarifa za maendeleo ya jengo letu pamoja na mradi wetu wa MGAHAWA.............
Jengo linaendelea vizuri,tayari mafundi wameanza kupandisha matofali nawanaelekea kukamilisha BASE na kulianza GHOROFA ya kwanza..........
Allah awatie nguvu mafundi wetu,enginer pamoja na Alhaj Madaraka.
Tunawahidi kuwaletea picha za jengo lenyewe ili mpate kujionea.
Tunawaombea DUA na kuwatia nguvu wenzetu wanaopambana na maisha ya elimu kwa sasa huko TEKU ili mambo yao yakae sawa.........BROTHERS AND SISTERS tupo pamoja na Mungu awatie nguvu na mfanikiwe......Tuna amini kwa uwezo wake.....yote yatakwisha salama na mtarudi salama nyumbani.