Sunday, March 30, 2014

 Kikao cha wanajumuiya wa MSATEKU kilicho ketiwa tarehe 30/03/2014 katika msikiti wao wa JIDDAH...
Amiri akiwa katikati wakiendesha kikao cha wanajumuiya kuume kwake na kushoto ni baadhi ya viongozi wa jumuiya.


 Baadhi ya waumuni wa kiume walioudhuria katika kiao.

Amir wa jumuiya ya Msateku akiwa nje ya JIDDAH baada ya kikao kuakhirishwa... katika kikao icho...
alielezea kiufupi kuhusu maendeleo ya Mgahawa wa                  wanajumuiya.... pamoja na maafali:
"aaww, Ndugu zangu waislam wake kwa waume ,wakubwa kwa watoto, maimamu na Mashekh pamoja na waislamu wote kwa ujumla. Hii ni taarifa fupi kuhusu maendeleo ya MGAHAWA na ya jumuiya kwa ujumla. MGAHAWA unaendelea vizuri na jumuiya yetu tupo katika mchakato wa uchaguzi na uteuzi wa viongozi... tukiwa tunajiandaaa na maafali ya kuwaaaga ndugu zetu wa mwaka wa tatu pamoja na certifacate na diploma ambao wapo mbioni kuondoka"..


Hao ni baadhi ya Maukhut walioudhuria katika kikao icho cha kwanza cha semester ya pili.

 

No comments:

Post a Comment