semina ya wanafunzi wa kiislam ambao wapo kidato cha SITA ambao wanatarajiwa kuanza mitihani yao ya mwisho tarehe 5/5/2014.. "semina iyo ilisimamiwa na mwalim mlez Shekh Ibraim na amiri wa mkoa.... ikiendeshwa na wanajumuiya wa MSATEKU wakiwa na Amir wao akhy Abdul"
Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria katika semina iyo.
Huo ndo mchakato mzima wa chakula ulivyokua ukiendelea wakati wa semina.. | |||
Huo ndo mchakato mzima wa upataji wa chakula ulivyoendelea...
No comments:
Post a Comment