Saturday, December 15, 2012

Maendeleo ya jengo la Mradi wetu

Assalam Alaykum....zifuatazo ni picha mbalimbali za jengo letu la Mradi wa Mgahawa wa kisasa.....pamoja na Msikiti.....angalia mwenyewe tulipofikia mpaka sasa......

 Ujenzi unaendelea.....mapema wiki chache zilizopita...nenda chini ujionee picha za sasa.....





Picha za leo tarehe 15 - 12 - 2012 jioni,hii ni dalili nzuri ya kuwa jengo laendelea vizuri na linataraji kwisha mapema...Alla atufanyie wepesi katika hili.....

2 comments:

  1. As.alaykum....ni maendeleo ya kujivunia hakika...Allah ashukuliwe na atufanyie wepesi Inshallah.

    ReplyDelete
  2. Vijana wa kiislamu tunapaswa kuuiga maendeleo yana MSATEKU...nimependa jitihada zenu...Allah awabaliki Inshallah Amin

    ReplyDelete