As.alaykum....!!!!huku mitihani ikiendelea ambapo hatimaye ni Kesho sawa na tarehe 11/7/2013, Msateku kwa pamoja leo walipata futari ya pamoja katika chungu Mosi...hakika ilivutia na ilikuwa rahaa kwa vijana hawa.....nakupatia baadhi ya picha za tukio hilo...lilofanyika katika Mgahawa na Msikiti wa Jumuiya.
baadhi ya wanajumiuya pichani...wakipata futariii
Maukht nao walikuwepo.......wakipata futuruuuuuuuuuu
futari ilikuwa nzr sana , allah atuandalie nyingine mwakani
ReplyDelete