Siku ya tarehe 26/10/2013.....chuo cha TEKU kiliazimisha mahafali ya Sita(6) tangu kuanzishwa kwake....baadhi ya Wanajumuiya na viongozi wa wastaafu wa Msateku walikuwa washiriki wa mahafali hiyo.....lakini cha kumshukuru ALLAH kiongozi mstaafu wa Idara ya Elimu katika
MSATEKU pia alikuwa Naibu Amir wa TAMSYA Mbeya
AMOUR ABDALLAH....alitunukiwa zawadi ijulikanayo kama TEKU PRIZE baada ya kufanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2010-2013 kwa kupata matokeo ya jumla ya
G.P.A ya 4.7 hakika anapaswa kupongezwa na pia Jumuiya ya MSATEKU....zifuatazo ni baadhi ya matukio hayo.
Mshindi wa zawadi ya TEKU PRIZE....Amour Abdallah....aliibuka kidedea kama mwanafunzi bora katika mwaka wa masomo 2010-2013 kwa kupata G.P.A ya 4.7......HONGERA SANA BROTHER.....!!!!
Baadhi ya viongozi wastaafu waliohitimu 2013 kutoka kulia ni Brother Jaribu,Kato Mudathiru,Hassan Mavue na Seseme Shaabani.
Hakika ni kwa kumshukuru Mungu.....BROTHER JARIBU (katibu mkuu Mstaafu wa MSATEKU) nae alikuwepo....hapo ni katika maandamano.
kabla ya mahafali kuanza......
hakika ilifana.....
zawadi zilitolewa......
Tabasamu baada ya kumaliza DEGREE ya kwanza....HONGERENI SANA.
hongera kijana na uendelee na juhudi , ila usiache harakati @ bw; khaffat
ReplyDeletea,alykm; hongereni kwa kumaliza mwaka wa tatu@khaffat
ReplyDeletea,alykm; hongereni kwa kumaliza mwaka wa tatu@khaffat
ReplyDelete0ND0ENI MAPICHA YA UCHI KTK BROG YA KIISLAM
ReplyDelete