kikao cha wanajumuiya wa MSATEKU kilichofanyika oktoba 27 katika msikiti wa wanajumuiya wa msateku... katika kikao icho waliudhulia baadhi ya waitimu wa 2010/13 ambao walikuwa wanajumuiya...miongoni mwao alikuwepo akhy SESEME, brother JARIBU na RIZIWANI..
baadhi ya matukio...... wakati wa kikao......
Baada ya kikao wanajumuiya walikwenda JIDDAH RESTAURANT kupata chakula cha mchana..
karibuni sana JIDDAH kunachakula kizuri na tunawapishi mahili kabisa... bila shaka ukifika JIDDAH RESTAURANT roho yako itasuuzika kwa uduma zetu...
Asalaam Aleykum! Ningependa siku moja Inshallah nifike mgahawa wa JIDDAH ila sifahamu unapatikana wapi?
ReplyDelete