Sunday, December 1, 2013

kikao cha wanajumuiya  wa msateku kilichofanyika December mosi 2013 katika msikiti wa JIDDAH .. kama wanavyoonekana katika picha..

Baadhi ya Ma-Ukhuti walioudhuria katika kikao icho.....

        hawa ni baadhi ya viongozi walioendesha kikao... wakiwa na Amir wa JUMUIYA al-akhy Abdul.


2 comments:

  1. hongereni kwa kuendeleza maendeleo ya uislamu na waislamu ndani na nje ya jumuiya. Allah awalipe kila la kheri

    ReplyDelete
  2. hongereni kwa kuendeleza maendeleo ya uislamu na waislamu ndani na nje ya jumuiya. Allah awalipe kila la kheri

    ReplyDelete