AS ALEYKUM WAR HAMATULWAHI WABARAKATU
hawa ni baadhi ya wanajumuiya wa kiislamu Teofilo kisanji university wakiwa na bashasha ya mahafali yao pamoja na wanandugu wao chuoni MZUMBE
LENGO KUBWA LA MAHAFALI HAYO YAKIWA NI WAISLAMU KUENDELEA KUSOMA ELIMU YAO YA DINI NA KUENDELEZA UISLAMU BILA KUJIFICHA
hawa pia ni baadhi ya watahiniwa wa mwaka wa wa tatu pamoja na wanandugu wao hapo chuoni MZUMBE CUMPUS YA MBEYA
Na hawa ndio wahitimu wa Teofilo kisanji university (TEKU) mara baada ya shughuli ya mahafali rasmi kuisha hapo MZUMBE CUMPUS
kikubwa walichohusiwa ni KUSOMA ELIMU YA DINI YAO MARA BAADA YA KUHITIMU ELIMU YAO
wakiwa baadhi ya wanachuo wakiwa wanachukua vyeti vya vya kiislamu huku wakipeana mikon na meza kuu wa waalikuwa pamoja na mgeni rasmi wa siku hiyo ya mahafali SHEIKH DURU masjid ISANGA
NB;Hayo ni baadhi ya matukio tu yaliyojitokeza katika mahafali hayo huku wakihusiwa juu ya kumcha ALLAH (S.A.W)
Mambo makuu walohusiwa na Sheikh Ibrahimu Bombo ni pamoja na ;
- waislamu kuuonyesha uislamu hata wawapo machuoni
- kusoma dini hata baada ya kuhitimu elimu yao ya chuo
- kuoa na kuacha suala la zinaa wakiwa kama vijana wa kiislam tegemezi hasa uko machuon na sehemu zao watakazo enda mara baada ya kuufika makwao .
No comments:
Post a Comment