Tuesday, January 20, 2015

SIKU YA MAVAZI (HIJABU DAY) ILIFANYIKA TAREHE 18/01/2015, MSIKITI WA IJUMAA BARABARA YA NANE

YAFUATAYO NI BAADHI YA MATUKIO MBALI MBALI, TUWE PAMOJA INSHAALLAH
                              Amir wa da'awa akitufungulia kongamano letu kwa Qur'an tukufu
                              Katibu mtendaji wa Tamsya mkoa akitupatia na saha zake
 Shekh Ibrahim na mlezi wetu wa tamsya mkoa wa mbeya akielezea mada yake ya hijabu sahihi katika uislam

                        Wamependeza na hijabu zao sana watoto wa madrasa











                                 Wako makini kusikiliza mada mbalimbali zikitolewa



                  Mtoto kapendeza na hijabu yake akiwa amepewa biskuti yake, biskuti na juice ziligawiwa

No comments:

Post a Comment