Friday, June 28, 2013

Hijab Day


Assalam Alaykum........kwa mara nyingine tena jumuiya ya Msateku wakishilikiana na Waislamu wa Mbeya mjini, kupitia jumuiya za akinamama na misikiti mbalimbali ya mkoa humu. Tarehe 8/ 6/ 2013 katika msikiti wa barabara ya nane.....Hijab Day ilifanyika tena.....yafuatayo ni matukio ya shughuli hiyo.
Kushoto ni mzee wa harakati babu au baba yetu mzee Sanda Ramadhani....nae alikuwepo
Shekh wetu kipenzi Brother Ibrahimu nae alikuwepo kutuunga mkono katika shughuli hii.

Shekh Pembe akitoa mada kuhusu umuhimu wa vazi la Hijab

 Wakina mama kutoka sehemu mbalimbali ya mjini wa Mbeya walijitokeza kusikiliza na kushiriki katika siku ya Hijab.
 Vijana wa Madrasa nao walishilikishwa
 ni wakati wa asubuhi kabla ya shuguli yenyewwe haijaanza
 upandea wa kina baba na vijana wa kiume
Sehemu ya jukwaa lilobeba mashekh huku wakitoa mda mbalimbali.

1 comment: