Friday, June 28, 2013

Dua Kwa ajili ya UE - 2013

Assalam Alaykum...kama ilivyokuwa ada kwa Jumuiya ya Msateku, inapokalibia kipindi cha Mitihani UE huwa wanafanya dua ya pamoja kumuomba Allah atufanyie wepesi katika mitihani yao na maisha ya chuo kwa ujumla. Tarehe 28/6/2013 Dua ilifanyika katika msikiti wa jumuiya.

 Kabla ya dua zilitolea agenda mbalimbali....hapa brother Amur akiwa anasisitiza jambo.
 wanajumuiya wakiwa wanafuatilia kwa makini

 na uchukuaji wa kumbukumbu ulifanyika pia.....
 baadhi ya viongozi wa Msateku wakiongoza na Brother Abubakar (Amir - Msateku)
 Shekh kipenzi cha wanajumuiya ya Msateku.....Brother Ibrahim.
 Shekh akitoa nasaha zake kabla ya kuongoza dua ya pamoja
Brother Ibrahim...............

No comments:

Post a Comment