Mada ziliwasilishwa......hapa shekh Shauri, ni maarufu san katika mji wa Mbeya .
Maaukht....wakiwa katika pozi mbalimbali wakati mahafali ikiendelea.
Mashekh nao..katika mapozi mbalimbali....
Muonekano wa sherehe yenyewe.
Waazee wa MSATEKU wakichinja hapo.....
Naaammmm!!!!!! ilikuwa rahaaa sana
Madrasa ikiendelea kutoa Sifa za MTUME (S.A.W)
Mlezi kwa upande wa walimu nae alitoa maneno machache pamoja na husia kwa vijana Mwl. ALAWI
Katibu wa (kudumu) TAMSYA mkoa wa Mbeya...Ustaadh Nassoro akiteta jambo na Amir Msaidizi mkoa(TAMSYA) brother Amur.
Mgeni wetu Rasmi....Brother Abdillah.....Mkuu wa kitengo cha usambazaji Pepsi...akitoa machache yake.
Brother Jaribu akichukua zawadi kwa ajili ya utumishi wake ndani ya MSATEKU pamoja na TAMSYA Mbeya.
Mudathiru Kato mwana wa Makora nae alitunikiwa zawadi...na viongozi wengine wa MSATEKU hawapo pichani
Amir Mstaafu wa MSATEKU brother Abdul-Salami akipokea nae zawadi
Meza wa wageni rasmi upande wa kina Dada na akina Mama...kutoka kushoto Amirath wa MSATEKU, Bibi Aisha na Mgeni rasmi Dada Jamila kutoka NMB Mbeya
Amirath Mstaafu Mama Kituka Nevizadi akichukua zawadi pamoja na cheti cha utumishi wa MSATEKU
Bi Zainabu Kalulu nae akipokea zawadi ya cheti cha utumishi wake kwa TAMSYA Mbeya.... |
No comments:
Post a Comment