Sunday, November 11, 2012

maendelao ya jengo la mradi wetu......

Assalam alaykum.......wanajumuiya wenzangu,leo tena tunaendelea kupeana maendeleo ya jengo letu la mradi,ambao ujenzi wake unaendelea kwa kasi ili kukamilisha ujenzi wa jengo hilo....hapa chini nawaletea picha nyingine ya jengo hilo,ili kushuhudia kasi ya ujenzi,picha hizi zimechukuliwa leo tarehe 11-11-2012,ya juu ni asubuhi na ya chini ni mchana.


Utakuwa shahidi mwenyewe maendeleo ya jengo hilo yanavyoendelea kwa kasi....Tumuombe Allah alete wepesi katika haya.



No comments:

Post a Comment