Monday, November 5, 2012

maendeleo ya mradi

Hatuna budi kumshukuru Allah....kwa kutupa punzi zake pia kutupa nguvu za kuendeleza yale yote yanayostahiki kwa mwanaadamu kuumbwa hapa duniani.PIa tunashukuru kwa kuweza sasa kuelekea kutimizandoto za wana MSATEKU kwa kuwa na mradi wao pamoja na  msikiti........picha za chini hatua za majengo hayo yalipofikia kwasasa......TAKBIRR>>>>TAKBIRRR>>>>>>TAKBIRRR.....ama hakika hatunabudi kumshukuru ALLAH.




hilo unaloliona ndio jengo....amabalo lipo katika mchakato wake halisi........baada ya muda si mchache itakuwa si hadithi tena.....ALLAH atatulie wepesi inshallah.......AMIN!!!!!!!!!


ukipita nje huo ndio muonekano wake........

No comments:

Post a Comment