Monday, November 5, 2012

Wenzetu hongera kwa kupata degree....!!!

As.alaykum ndugu wanajumuiya.....karibuni sana wale ambao ni wapya katika kufuatilia Blog yetu pendwa ya MSATEKU......hususani wale mwaka wa kwanza (I) ni blog yenye kuleta umoja na mshikamo kati ya wanajumuiya......kwa taarifa tu....mara baada ya kufungua chuo....shughuli za kawaida za jumuiya ziliendelea pamoja na vikao vyake.Siku ya Jumapili ya Jana tarehe 4-11-2012,kulifanyika kiako cha mwezi cha wanajumuiya wot...lakini kabla ya hapo kuilifanyika shughuli ya pamoja ya kusherehekea Idd-il-Haji,ambapo wanajumuiya waliunguna kwa pamoja kusherekea....kama kawaida MBUZI alidondoaka,na mpunga (Mchele) kuliwa.....picha zake nitawaletea zikiwa tayari....lakini Jumamosi ilikuwa shughuli ya mahafali kwa wanachuo wa TEKU......ebu jionee picha chache za kaka zetu nilizobahatika kuzipata....



  hahahhahhahaha....najua utashangaa....hivi huyu wa kushoto katika picha nae amegradueti au mbwembwe tu.........usijali nilikuwa nawapa kampna kaka zangu.........hongerni sana...........









brother Nasri akiwa na wakufunzi wake katikachuo cha TEKU....pembezoni mbaili yakuwa mkufunzi pia ni mlezi wa Jumuiya yetu...Brother Nchimbi.K.Y


Brother Omary(aliyekuwa katibu wa Jumuiya) akiwa nawahitimu wenzake...ama hakika mahafali ilifana.....Hongereni sana wale wote mliogradueti.....

No comments:

Post a Comment