Assalam Alaykum.....!! zifuatazo ni picha mbili zenye kutonesha hali halisi ya maendeleo ya jengo letu la mradi wa Jumuiya. Picha zimepigwa tarehe 27, Januari 2013.
Unajionea sehemu kubwa ya ujenzi umekamilika bado katika suala zima la
kuweka mambo sawa ili jengo liendane na hadhi ya Waislamu na Jumuiya
yetu ya MSATEKU....Tayari tanki la maji lipo tayari.....vyoo
alikadhalika....na hata sakafu na mambo mengine ya ndani yamekamilika.
No comments:
Post a Comment