Sunday, February 3, 2013

Kongamano la WANAWAKE-MSATEKU lafana......

As.alaykum......Tarehe 3-Februari-2013,saa Tatu asubuhi mpaka Saa Saba mchana,Jumuiya ya MSATEKU kupitia idara yake ya Da`awa......ilifanikiwa kuwakusanya kwa pamoja wanawake na kinadada wanaosoma chuoni (TEKU) ili kuweza kubadilishana na kukumbusha juu ya masuala ya dini na namna ya kuuishi ukiwa kama mwanamke....mada mbili zilitolewa..moja ikihusu Stara na nyingine kuhusu Nafasi ya mwanamke katika maisha ya leo.Wageni kutoka nje ndio walikuwa wasilishaji wa mada hizo.Zifuatazo ni picha za matukio ya kongamano hilo...KARIBU SANA.

 Amirat wa Jumuiya(MSATEKU) mama Navizadi Kituka,akiwakribisha wanajumuiya na wageni wengine katika kongamano hilo...

 Wanakongomano wakifuatilia kwa karibu mambo yanayotelewa na meza kuu..

 Hakika ilipendeza...wakidada wakiwa watulivu sana kwa kufuatilia kinachosemwa kwao.


Haikuishia kusikiliza tu.....bali nakuu nazo zilichukuliwa na kinadada zetu...hakika ilipendeza.



 Pengine mada ilimsisimua dada Zawadi........hadi aliinama na kushika kichwa kwa masikitiko....pole sana dada yetu..........
 Meza kuu ikisiliza maoni kutoka kwa washiriki wa kongamano...kwaki ilikuwa ni mada then mjadala.

 Mara baada ya kongamano kwisha paliswaliwa .......utashuhudia wakidada walivyoitika

Wakinadada wakiwa wanatoka kwenda majumbani kwao.....

4 comments:

  1. MAASHAALLAH HONGERENI BROTTHERS AN SISTERS FOR WHAT UR DOING

    ReplyDelete
  2. ktk kongamano hilo mada ya 1 ilkuwa "stara na nafasi ya m.ke katika jamii ilitolewa na BI, MWAMVUA, na mada ya 2 ilikuwa taqwa ilyotolewa na BI, JAMILA.
    MGENI RASMI ALKUWA BI MWAMVUA

    ReplyDelete
  3. Hongereni sana kwa kazi waifanyayo mabinti wa teku! lakini kuna baadhi ya mabint hao wanaudhalilisha UISLAMUna WAISLAMU wa teku kwa mavazi yao ya STARA MCHANA na usiku mavazi ya kishetan na hata baadhi yao kuaminiwa na waislamu wa Teku lakini kumbe nikinyume na matendo yao kama vile kbebeshwa MIMBA na wagalatia nje ya UTARATIBU wa Kiislamu na hii ni kutokana na ufinyu wa mawazo na uchache wetu wa IMANI katika DINI yetu, Nwahusia pamoja na kuisia nafi yangu kumcha Allah.

    ReplyDelete