Tuesday, July 17, 2012

chakula cha hisani

Hapa utakubaliaana nami kuwa kulipatiakana pesa ijioni hiyo.....................wajionea mwenyekiti wa Chakula cha Hisani Brother Nasri na mwekehazina wake Sister Zaynab Kalulu wakimfuatilia katibu Brother Amry J atoe hesabu sahihi za minoti iliyohesabawa jioni hiyo.

Chakula cha Hisani

Katibu Brother Amry .J na walimu walezi Mr. Allawi Mikidadi na Nchimbi Khamisi,wakiwa na furaha ya kuona maendeleo mazuri ya shughuli ya chakula cha hisani ikiwa inaendelea.......shughuli ilifanikiwa sana takribani Millioni 3 zilitarajiwa kukusanywa katika jioni hiyo.Hongereni sana MSATEKU.

Chakula cha Hisani

Mwalimu Mlezi Mr.Khamis Yunus Nchimbi kishiliki katika shughuli ya chakula cha Hisani kilichoandaliwa na MSATEKU kwa lengo la kuboresha mfuko wa Mradi wao ambao upo karibuni kukamilika....hapa alikuwa anakaribisha wageni waalikwa na kuhamasisha suala la kutoa...pembeni kushoto ni Katibu wa Jumuiya Brother AMRY .J na kulia ni Amir mstaafu Brother Mussa Majugwe.
Hawa ni baadhi ya viongozi wa MSATEKU katika picha ya pamoja......wote wakiwa na bashasha ya ufanyaji kazi nautekelezaji wa majukumu yao ndani ya Jumuiya....wakiwa na maamir wao.....Amir mstaafu Brother MUSSA MAJUGWE na Brother ABDUL-SALAAM.

shughuli mbalimbali za MSATEKU

Wakati wa IDD ya Mfungo TATU,Jumuiya ilitimiza SUNNAH ya kuchinja hapa baadhi ya wanajumuiya wa kihakikisha tendo hilo linakamilika alieshika kisu ni Brother Kimaro,wakati ni Brother Ridhiwan na Brother Mohamed....pembezoni ni Brother Amur...hongereni sana wanajumuiya.

wana jumuiya ya msateku wakiwa katika mahafali

ndani ya mahafali brother Mtunzi na Seph Abdallah.

Maendeleo ya Mradi

Assalam alaykum............!!!!Jumuiya ya MSATEKU inaelekea kukumilisha ndoto zake mbalimbali iliyojiwekea kwa uwezo wa ALLAH....inawezekana hujui kinachoendelea ndani ya Mbeya kwa hivi sasa mwana Jumuiya wetu.....Tayari shughuli za maandalizi ya Jengo kubwa la Mradi linafanyiwa tathmini ya kina,chini ya mafundi wakuu na Mlezi wetu.Imani yangu wataka kujionea picha za huko Mbeya jinsi mambo yanavyoendelea....tunakuahidi juhudi zinaendelea za kuzipata picha.....mara tu zikitufikia....hatutokuwa na choyo za kukurushia katika blog yako pendwa ya MSATEKU.......tunakutakia mapunziko mema na maandalizi mema ya Mfungo wa Ramadhan......Inshallah AMIN.