Mwalimu Mlezi Mr.Khamis Yunus Nchimbi kishiliki katika shughuli ya chakula cha Hisani kilichoandaliwa na MSATEKU kwa lengo la kuboresha mfuko wa Mradi wao ambao upo karibuni kukamilika....hapa alikuwa anakaribisha wageni waalikwa na kuhamasisha suala la kutoa...pembeni kushoto ni Katibu wa Jumuiya Brother AMRY .J na kulia ni Amir mstaafu Brother Mussa Majugwe.
VIONGOZI WATAKAO CHA GULIWA WACHUNGUZWE BACK GROUND ZA SIO KAPTA PRESSURE YA KUSALI HAPA CHUO NDO AWE KIONGO BAADA ANAACHA KUSALI.INAKUJA KUWA MZIGO KAMA BAADHI YA VIONGOZI WALIOPO SASA. KIGEZO KIKUU CHA KIONGOZI AWE MDUMISHA SWALA NA AMEOA, VINGINE ASIWE MPENDA KUJIONESHA, AMEUDHULIA VIKAO VYA DINI ANGALAU MARA TONO(UKIUNGANISHA DARASA) KWA 1ST YEAR VIONGOZI MNAOCHAGUA VIONGOZI MNADHIMA. MKIKOSEA KUCHAGUWA ASSALAM ALAYKUM
ReplyDelete