Tuesday, July 17, 2012

Hawa ni baadhi ya viongozi wa MSATEKU katika picha ya pamoja......wote wakiwa na bashasha ya ufanyaji kazi nautekelezaji wa majukumu yao ndani ya Jumuiya....wakiwa na maamir wao.....Amir mstaafu Brother MUSSA MAJUGWE na Brother ABDUL-SALAAM.

11 comments:

  1. ASSALAAM ALAYKUM ndani ya viongozi waliowekwa kwenye picha za bloggo ya jumuhia ambaye anaitwa Dalius Mbatela hafai kwa matenda yake mabovu ana fedhehesha jumuhia

    ReplyDelete
  2. KWAHELI VIONGOZI MNAO ONDOKA ALLAH AWAPE KILA LA KHELI NIKIANZA NA AMIRI ABDUL SSALAM, KATIBU JALIBU, AMIRI WA DAWA CHUMA CHA TEKU, MDATHIRU KATO TUOMBEE SANA KAIZI WAPATE MTU WA KUWAAMUSHA KUSALI. PIA AMIRAT KWAHELI, ZAINABU KALULU MTUSAIDIE KUTAFUTA AMIRAT NAOMBA MUMUANGALIE SANA NEEME MOHAMED YAFAA KABISA .MSICHAGUE VIONGOZI KWANZA MUAMUKE USIKU MUMUOMBE ALLAH AWAPE UONO WA JUU.

    ReplyDelete
  3. Amir mpya nampendekeza maziku juma bse anajitambua

    ReplyDelete
  4. Hongera kwa uwongozi mpya wa jumuiya hakika ni watu ambao wana muonekano wa kiutendaji>ALLAH awape nguvu inshallah Amir wetu Abduli na team yake,Takbir!

    ReplyDelete
  5. hamto endelea kwa majungu jichunguzenu mnaojiona bora kuliko wengine

    ReplyDelete
  6. mnaweza mkamchukia mtu kumbe alikuwa ni kheri kwenu sasa kiko wapi

    ReplyDelete
  7. hatuwezi kuwa na hamasa kwa ndoa ambazo zilianza na uzinifu na majivuno mengi

    ReplyDelete
  8. kamati ya daawa mpo wap mbona maadili yazidi kupolomoka mpaka viongoz naopia wanaingia ktk kufanya maovu?

    ReplyDelete
  9. wenye jumuiya mbona hatuwasikiitena mkisema, hakuna mabadiliko utumbo bado upo uleule

    ReplyDelete
  10. jamani hiyo jumuiya ni ya waislam wa teku mbona nyie mwajimilikisha? achen ushamba wa kuhozi madaraka kumbukeni kuna kifo na mtaulizwa kwa dhulma ambazo mmezifanya

    ReplyDelete
  11. AWW, KILA AMBEYA AMECHANGIA COMMENT HIZI ALLAH AWALIPE KWA WALIYO YA KUSUDIA KTK NYOYO ZAO KAMA NI KWA HERI AWALIPE NA KAMA KWA SHARI ALLAH AWALIPE JAZA ILIYO SAWASAWA KWAO. TUMCHENI ALLAH UPEO WA KUMCHA INSHAALLAH

    ReplyDelete