Tuesday, July 17, 2012
Maendeleo ya Mradi
Assalam alaykum............!!!!Jumuiya ya MSATEKU inaelekea kukumilisha ndoto zake mbalimbali iliyojiwekea kwa uwezo wa ALLAH....inawezekana hujui kinachoendelea ndani ya Mbeya kwa hivi sasa mwana Jumuiya wetu.....Tayari shughuli za maandalizi ya Jengo kubwa la Mradi linafanyiwa tathmini ya kina,chini ya mafundi wakuu na Mlezi wetu.Imani yangu wataka kujionea picha za huko Mbeya jinsi mambo yanavyoendelea....tunakuahidi juhudi zinaendelea za kuzipata picha.....mara tu zikitufikia....hatutokuwa na choyo za kukurushia katika blog yako pendwa ya MSATEKU.......tunakutakia mapunziko mema na maandalizi mema ya Mfungo wa Ramadhan......Inshallah AMIN.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment