Assalam alaykum!!!Tarehe 10,February,2013.Idara ya Taaluma ilaandaa SEMINA ya kujiandaa na mitihani ya U.E kwa vijana wa Mwaka wa Kwanza (I) , lengo la semina ni kujaribu kupambana na khofu na pia kupelekea matokeo mazuri kwa vijana hao. Mada mbili ziliwasilishwa ya kwanza ilikuwa Namna ya kujiandaa Kisaikolijia na Nini cha kufanya ili ufanye vizuri katika mitihani? Zifuatazo ni baadhi ya picha zenye tukio hilo.
Viongozi wa Idara ya Taaluma pamoja na viongozi wa juu wa Jumuiya....Kutoka kushoto ni naibu Amir idara ya Elimu brother Ridhiwan,anaefuata ni Brother Amur(Amir wa Idara ya Elimu na Naibu Amir mkoa Tamsya-Mbeya),anaefuata ni Amir wa Jumuiya (MSATEKU) brother Abdul Salami na anaeongea ni Brother Seseme(Amir idara ya Da`awa) na pembeni ni brother Suilemani(Mkuu wa maktaba ya MSATEKU na mjumbe idara ya elimu)
Vijana wa mwaka wa kwanza wakifuatilia maelekezo kutoka meza kuu (haipo pichani)
Maustadh wa Mwaka wa Kwanza wakifuatilia kwa makini semina hiyo,leo asubuhi. |
A.W.W. Maoni yagu napendekeza ndugu maziku awe amir , inshaalah
ReplyDelete