Amir-Msateku |
hapa tulipofikia katika maandalizi ya mradi wetu na msikiti....
"...ebu jionee picha za hapo chini kuthibitisha haya nikuambiayo.."
Amir-MSATEKU
Sehemu maalumu ya kutilia udhu hapo hususani kwa wanaume na sehemu ya wanawake nayo ipo tayari.
Sehemu ya kunawia mikono kabla ya kula ipo ndani ya mgahawa. |
Baadhi ya sehemu za kunawia huko msalani na hata ndani ya mgahawa....mabomba yameenezwa
Sehemu za jikoni hapo....
Ukiwa wataka kuelekea msalani ndivyo panavyooonekana hapo
Moja ya choo....kwa ajili ya wanaume na hata wanawake vipo tayari...
ASSALAM ALIKUM MUSLIMS
ReplyDeleteALLAH AWABARIKI MASHEKH KWA KAZI MNAYO IFANYA
TUOMBEANENI DUA
MAJUGWE
shukrani Brother Majugwe.....kinachofanyika ni kuendeleza misingi muuliyoiacha nasi kwa uwezo wa Allah hatuna budi kuepeleka vile inavyostahiri....Kwa uwezo wa Allah nasi tunajitahidi ili kuupeleka mbele Uislamu...Tunaomba uwafahamishe wenzako wawe wanatembelea Blog yetu na kutoa maoni ili tuuendeleze Uislamu hapa Chuoni na Mbeya kwa ujumla.
DeleteKatibu Mkuu (MSATEKU)
shukran kwa taarifa
ReplyDeleteshukrani sana kwa taarifa
ReplyDelete