Brother Ibrahim ni mmoja kati ya wanataaluma wanaoipa support ya kutosha MSATEKU ili kufikia katika kilele cha mafanikio kwa mambo yao yote walioyafanya,watakaoyafanaya na wanayoyafanya ndani ya jiji la Mbeya.......Allah akubaliki sana Brother pamoja na viongozi wa MSATEKU,kushoto ni Amir wa jumuiya ABDUL-SALAAM.
No comments:
Post a Comment