unamuona amir Husein hapo nyuma? siku hii alikuwa na kikao chengine muhimu sana TAMSYA huko, lakini kwa kuwa na shughuli hii ni muhimu na yeye ni kiongozi wa juu wa jumuiya hakuweza kukosa. alijitahidi kuwahhi zote mbili. Alikuwa amechoka sana alipokuja kutoka TAMSYA, aliombwa akapumzike tu watu wengine watamuwakilisha, lakini kwa moyo wake wa kujitolea ktk kazi za jumuiya alikataa katakata, akasema ni lazima nayeye awepo katika shuhguli hii muhimu.

ReplyDelete