Thursday, July 19, 2012

Hafla fupi....

Tarehe 8-07-2012,siku ya Jumapili,siku moja mara baada ya kufunga chuo,mwalimu wetu mlezi aliandaa hafla fupi kutakiana baraka na kuuagana pia kubadilishana mawazo na baadhi ya wanajumuiya,hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake.....kama unavyoona alidondoshwa mbuzi.....brother Amry anashughulika kumchuna ngozi,pembezoni mwalimu mlezi akiwa anafanya mawasiliano ili mambo yaende sawa...

No comments:

Post a Comment