MSATEKU inawashirikisha vijana mbalimbali wa mjini Mbeya katiaka kuhakikisha UISLAMU unaenda mbele ndani ya Mbeya.....hapa Sister Zaynab na Saida Kemo wakihakikisha vazi la HIJJAB kwa vijana wao linatekelezwa...hususani kwa watoto wa shule.....wao wakiwa kama walimu kwa wanafunzi hao....katiaka onyesho la mavazi...kipengele cha vazi la shule kwa wanafunzi na walimu wao.
No comments:
Post a Comment