Friday, December 6, 2013

ISLAM BANNED IN ANGOLA... THIS IS DONE BY THE GOVERNMENT OF ANGOLA...... On November 22, the Angolan Minister of Culture Rosa Cruz e Silva.... LAANATU LLAH ALAI said that islam is an illegal Religion..

Islam Banned in Angola

islam, banned, angola, africa, muslim
Islam Ban: Questionable Future for Mosques in Angola
While the constitution in Angola guarantees freedom of religion to all of its citizens, this right no longer seems to apply to the followers of the now banned religion of Islam. According to numerous newspapers in Angola, the African nation has banned the Islamic religion. It has become the first country in the world to take such a harsh stance against Muslims.
On November 22, the Angolan Minister of Culture Rosa Cruz e Silva said that “[t]he process of legalization of Islam has not been approved by the Ministry of Justice and Human Rights [and so] their mosques would be closed until further notice.” Why the religion needs to be legalized has not been definitively stated by Cruz e Silva.
Cruz e Silva has also said that the closing of mosques is the most recent move in Angola’s effort to but a stop to so-called illegal religious sects. Under new laws in Angola, many religious sects have suddenly become criminal.
On November 24, Angola President José Eduardo dos Santos said that the country is working toward putting an end to Islamic influence in Angola once and for all. Again, there is no word of what or who has been influenced and why it needs to stop.
The Governor of Luanda, Bento Bento, has said that “radical” Muslims are not welcome in the country and that the Angolan government will not be legalizing mosques or other places of worship for Muslims.
Islam Banned in Angola
Small African Nation of Angola
The African country of Angola’s citizens primarily practice indigenous religions. Recent surveys show that 47 percent adhere to traditional indigenous beliefs while another 38 percent of the population practice Roman Catholicism and 15 percent practice Protestantism.
The now banned religion of Islam is practiced by a very small percentage of the 18.5 million inhabitants of Angola. Only about 80,000-90,000 Angolans practice Islam. These Muslims are primary migrants from West Africa and Lebanon.
While the means of becoming a “legal religion” is Angola is not clear at this point, the government is very harshly cracking down on the illegal sects. Minister of Culture Rosa Cruz e Silva has made it known that there are nearly 200 different illegal religious sects in Angola so it is not just Islam that has been banned in Angola.
Rosa Cruz e Silva has also said that there are more than 1000 applications that have been submitted by religious groups in an effort to legalize their sects. Islamic groups have made up some percentage of these many applications but it is not clear when or if they will ever be approved. Rosa Cruz e Silva said that the legalization process of Islam has simply not been approved and, therefore, mosques must remain closed “until further notice.”
While some mosque could theoretically reopen again in the future, some are gone forever. After Angola banned Islam, one of the country’s few mosques had its minaret was taken down in October. The city of Zango had its only mosque completely destroyed after the ban as well.Those things are done under the influence from the government... "you as the muslim what do you learn from  such kind of fatigue to muslim"..

Sunday, December 1, 2013

kikao cha wanajumuiya  wa msateku kilichofanyika December mosi 2013 katika msikiti wa JIDDAH .. kama wanavyoonekana katika picha..

Baadhi ya Ma-Ukhuti walioudhuria katika kikao icho.....

        hawa ni baadhi ya viongozi walioendesha kikao... wakiwa na Amir wa JUMUIYA al-akhy Abdul.


Wednesday, October 30, 2013

kikao cha wanajumuiya wa MSATEKU kilichofanyika oktoba 27 katika msikiti wa wanajumuiya wa msateku... katika kikao icho waliudhulia baadhi ya waitimu wa 2010/13 ambao walikuwa wanajumuiya...miongoni mwao alikuwepo akhy SESEME, brother JARIBU na RIZIWANI..

  baadhi ya matukio...... wakati wa kikao......


Baada ya kikao wanajumuiya walikwenda JIDDAH RESTAURANT kupata chakula cha mchana.. 
karibuni sana JIDDAH kunachakula kizuri na tunawapishi mahili kabisa... bila shaka ukifika JIDDAH RESTAURANT roho yako itasuuzika kwa uduma zetu...

Saturday, October 26, 2013

Mahafali ya TEKU 2013

Siku ya tarehe 26/10/2013.....chuo cha TEKU kiliazimisha mahafali ya Sita(6) tangu kuanzishwa kwake....baadhi ya Wanajumuiya na viongozi wa wastaafu wa Msateku walikuwa washiriki wa mahafali hiyo.....lakini cha kumshukuru ALLAH kiongozi mstaafu wa Idara ya Elimu katika MSATEKU pia alikuwa Naibu Amir wa TAMSYA Mbeya AMOUR ABDALLAH....alitunukiwa zawadi ijulikanayo kama TEKU PRIZE baada ya kufanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2010-2013 kwa kupata matokeo ya jumla ya G.P.A ya 4.7 hakika anapaswa kupongezwa na pia Jumuiya ya MSATEKU....zifuatazo ni baadhi ya matukio hayo.


Mshindi wa zawadi ya TEKU PRIZE....Amour Abdallah....aliibuka kidedea kama mwanafunzi bora katika mwaka wa masomo 2010-2013 kwa kupata G.P.A ya 4.7......HONGERA SANA BROTHER.....!!!!

 Baadhi ya viongozi wastaafu waliohitimu 2013 kutoka kulia ni Brother Jaribu,Kato Mudathiru,Hassan Mavue na Seseme Shaabani.

 Hakika ni kwa kumshukuru Mungu.....BROTHER JARIBU (katibu mkuu Mstaafu wa MSATEKU) nae alikuwepo....hapo ni katika maandamano.
 kabla ya mahafali kuanza......
 hakika ilifana.....
 zawadi zilitolewa......
 Tabasamu baada ya kumaliza DEGREE ya kwanza....HONGERENI SANA.

TAKBIRR......!!!!!!TAKBIRRR.........!!!!TAKBIRRR......!!!!

Assalam Alaykum.....!!!!!wanajumuiya wa MSATEKU na wale waislamu wote kwa ujumla ......hatuna budi kumshukuru ALLAH.....kwa hatua tuliyofikia hivi sasa katika maendeleo ya MRADI wetu wa Mgahawa....hakika ALLAH wa kushukuliwa katika yote mazuri tuliyoyafikia......Tayari mradi wetu wa Mgahawa umeanza kazi na mambo yanaendelea ndani ya MSATEKU.....Mgahawa unaitwa JIDDAH....na umeanza kuwa maarufu katika eneo la BLOCK T.......zifuatazo ni picha za Mgahawa huo...ndani na nje.....yapata mwezi sasa tangu kuanza rasmi.....ulianza tarehe 26 /09/ 2013.
 Jiddah Restaurant.....ndio maneno yanayosemeka kwa nje ya mgahawa wetu

 Ndani ya mgahawa kuna wateja na wafanyakazi wetu.....suala la usafi na muonekano nadhifu limezingatiwa.
 karibu mteja...........
 mambo ya asubuhi hayoo....chai ya maziwa, ya Mdarasini....,Tangawizi......pamoja na SUPU ya Ngo'mbe utapata.

 Hakika kunavutia........karibuni sanaaa JIDDAH.....



Wednesday, July 10, 2013

Mawaidha kwa njia ya Video Mada watu Kumi waliosamehewa kufunga na Shekh Nurdin Kishk........!!!!!!!karibuni sana....


Msateku wafuturu kwa pamoja........

As.alaykum....!!!!huku mitihani ikiendelea ambapo hatimaye ni Kesho sawa na tarehe 11/7/2013, Msateku kwa pamoja leo walipata futari ya pamoja katika chungu Mosi...hakika ilivutia na ilikuwa rahaa kwa vijana hawa.....nakupatia baadhi ya picha za tukio hilo...lilofanyika katika Mgahawa na Msikiti wa Jumuiya.

 baadhi ya wanajumiuya pichani...wakipata futariii
 Maukht nao walikuwepo.......wakipata futuruuuuuuuuuu

Mwalimu Rais Mwinyi katika Tamasha la Kiswahili









Rais Mstaafu, Mwalimu A. H. Mwinyi akihutubia katika maadhimisho ya Tamasha la Kiswahili.
Rais Mstaafu, Mwalimu Ali Hassan Mwinyi siku ya Jumamosi Juai 6, 2013 katika ukumbi wa Hamton Place alikamilisha sherehe za miaka 3 ya blog ya Vijimambo pamoja na Tamasha la Kiswahili lililoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania na uongozi wa Ubalozi wa Tanzania Jijini Washington DC, nchini Marekani.

Baadhi ya Watanzania kutoka maeneo mbalimbali walihudhuria na kuisikiliza hotuba ya Rais na Mwalimu Mwinyi aliyoitoa ambayo iligusia misingi ya matumizi ya baadhi ya maneo ya Kiswahili ambayo tunayatumia kwa makosa kwa kuchanganya umoja ama wingi wake. Alitoa mifano ya matumizi ya maneno yafutayo:

UMOJA na WINGI

Ni sahihi kusema “madhehebu” na siyo sahihi kusema, “dhehebu”. Neno madhehebu halina wingi. Hakuna neno dhehebu.

Ni sahihi kusema mahitaji, lakini si sahihi kusema hitaji

Mafao
 na siyo fao

Ni mahakama, hakuna hakama
Majuto ni neno moja, hakuna neno juto

Mateso
 ni sahihi, hakuna teso

Sahihi kusema madhila na siyo dhila

Maradhi
 na siyo radhi (radhi ni neno jingine lenye maana nyingine. Mathalani kumwona mwendawazimu na 
kusema, "yule kakosa radhi kwa baba yake...")

Neno shule halina wingi (ni singular, asili yake Kijerumani), Shule moja, shule hamsini (hakuna mashule)

Askari (akiwa mmoja, wakiwa mia bado ni askari) siyo maaskari

Polisi (mmoja au wengi) hakuna neno mapolisi

Saa (saa haina wingi). Si sahihi kusema, “nimesafiri kwa masaa mengi” bali sahihi kusema nimesafiri kwa saa...)

Hesabu (haina wingi, inabakia kuwa hesabu) hakuna mahesabu

Upungufu, hakuna neno mapungufu

Uamuzi
, hakuna neno maamuzi

Ni uhusiano, hakuna neno mahusiano

Na ni ushirikiano, siyo neno mashirikiano. Halipo neno hilo katika Kiswahili sanifu.


MATUMIZI YA SILABI

Matumizi ya silabi 'sha' maana yake ni kisababishi/inasababisha. Kwa mfano, si sahihi kusema, "Nimemwenda Marekani sina nyumba ilinibidi nikodishe" kwa kuwa kama huna kitu, wewe utasema, "Nimekwenda Marekani sina nyumba ilinibidi nikodi". Mimi sina nyumba nikodishe? Na mwenye nyumba akodishe? Hapana, 'sha' ni kisababishi. Asiye na nyumba akodi, na mwenye nyumba akitaka akodisha. Ama, “Juma nusura kunifukuzisha kazi kwa fitina yake”. Yaani ningefukuzwa kazi kwa fitina ya Juma.

KUHESABU

Hesabu: Vitu huhesabiwa moja, mbili, tatu n.k., ila watu huhesabiwa mmoja, wawili, watatu, wanane, tisa n.k., kwa sababu maneno tunayoyaazima kutoka kwenye lugha nyinginezo, tusiyaingilie kuyachokoa. Sita, Saba, Tisa ni Kiarabu, si Kiswahili, ndiyo maana twasema Watu, ng’ombe sita, saba, tisa. 

Friday, June 28, 2013

Dua Kwa ajili ya UE - 2013

Assalam Alaykum...kama ilivyokuwa ada kwa Jumuiya ya Msateku, inapokalibia kipindi cha Mitihani UE huwa wanafanya dua ya pamoja kumuomba Allah atufanyie wepesi katika mitihani yao na maisha ya chuo kwa ujumla. Tarehe 28/6/2013 Dua ilifanyika katika msikiti wa jumuiya.

 Kabla ya dua zilitolea agenda mbalimbali....hapa brother Amur akiwa anasisitiza jambo.
 wanajumuiya wakiwa wanafuatilia kwa makini

 na uchukuaji wa kumbukumbu ulifanyika pia.....
 baadhi ya viongozi wa Msateku wakiongoza na Brother Abubakar (Amir - Msateku)
 Shekh kipenzi cha wanajumuiya ya Msateku.....Brother Ibrahim.
 Shekh akitoa nasaha zake kabla ya kuongoza dua ya pamoja
Brother Ibrahim...............

Hijab Day


Assalam Alaykum........kwa mara nyingine tena jumuiya ya Msateku wakishilikiana na Waislamu wa Mbeya mjini, kupitia jumuiya za akinamama na misikiti mbalimbali ya mkoa humu. Tarehe 8/ 6/ 2013 katika msikiti wa barabara ya nane.....Hijab Day ilifanyika tena.....yafuatayo ni matukio ya shughuli hiyo.
Kushoto ni mzee wa harakati babu au baba yetu mzee Sanda Ramadhani....nae alikuwepo
Shekh wetu kipenzi Brother Ibrahimu nae alikuwepo kutuunga mkono katika shughuli hii.

Shekh Pembe akitoa mada kuhusu umuhimu wa vazi la Hijab

 Wakina mama kutoka sehemu mbalimbali ya mjini wa Mbeya walijitokeza kusikiliza na kushiriki katika siku ya Hijab.
 Vijana wa Madrasa nao walishilikishwa
 ni wakati wa asubuhi kabla ya shuguli yenyewwe haijaanza
 upandea wa kina baba na vijana wa kiume
Sehemu ya jukwaa lilobeba mashekh huku wakitoa mda mbalimbali.

Thursday, June 13, 2013

TAKBIRRRRR!!!!!! ALLAH AKBAR.......

Maendeleo ya Mradi na Msikiti wa MSATEKU wazidi kushika kasi............zifuatazo ni Picha za MGAHAWA ulivyo hivi sasa na MSIKITI.


 Ukuta umeshaondelewa hili ni geti la kuingia Mgahawani na Msikitini......
 Ni muonekano wa nje....lakini ujenzi ukiwa bado unaendelea....

 Sehemu ya Msalani kwa wanaume ukiwa waenda Msikitini ilivyo kwa sasa
 Sehemu ya ndani ya Mgahawa....ni jikoni huko kwa mbele...Taa tayari zimewekwa
Msikitini hapo upande kwa Wanaume.

MADHARA YA ZINAA KISAYANSI


Assalam Alaykum......leo tena naleta mafundisho yenye kubeba mada kuhusu zinaa na madhara yake kisayansi....huku ndani ya sayansi hiyo...Uislamu ukionesha mawanda yake. Kwahiyo kijana mwenzangu naihusia nafsi yangu pamoja na yako, hatuna budi kuyazingatia haya nitakayobahatika kuyaleta kwako......KARIBU SANA!!!!!!

Wengi katika wanadamu wanajaribu kuhoji kwa nini Mwenyezi Mungu anakataza zinaa wakati kuingiliana baina ya mke na mume na kuingiliana baina ya hawara na hawara mambo ni yaleyale, sasa kwa nini akataze??? Kwanza ifahamike kwamba Mwenyezi Mungu akikataza jambo basi ujue lina hasara kwetu kwa kulifuata na lina faida kubwa kama tukiliacha. Tofauti na wanadamu, kwa mfano; Serikali inakataza pombe ya Gongo kwa madai kuwa ni haramu wakati Bia pia ni pombe lakini ni halali! Hiyo ni kwa mujibu wa serikali za ulimwengu. Lakini katika UISLAMU Mwenyezi Mungu akisema pombe ni haramu basi iwe Gongo,Bia,n.k zote ni HARAMU.

Ndivyo pia ilivyo ZINAA, leo ulimwenguni kuna zinaa ya halali wenyewe wanaita “zinaa salama ya kutumia Condom” lakini uislamu umeharamisha kabisa zinaa, iwe ya Condom au bila Condom huo ndio uislamu na ndiyo amri za Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur’an, sura ya 17 Bani Israil aya ya 32;
“Na wala msiikaribie ZINAA, hakika ya hiyo zinaa ni uchafu na njia mbaya”
Hapo Mwenyezi Mungu amekataza Zinaa, tena amesema hiyo zinaa ni uchafu. Haya ni maneno aliyosema Mwenyezi katika karne ya saba (7). Je? Watu wa kanuni za maumbile wanakubaliana kwamba ndani ya zinaa kuna uchafu? Na kama upo ni upi? Hatuwezi kuujua uchafu wa zinaa mpaka tutazame katika mafundisho ya wanasayansi wa sasa yaani MODERN SCIENTISTS ili tujue wamekubaliana vipi na Qur’an bila wenyewe kujua. Wakati tunatafuta kujua uchafu wa zinaa na madhara yake kisayansi lazima kwanza tujue vitu vikuu vine:

(1) Uchafu ni nini?
(2) Manii yanatoka wapi kwa mwanaume?
(3) Manii yanatoka wapi kwa mwanamke?
(4) Na ndani ya manii mna nini
?

Tunapozungumzia uchafu kwa tafsiri ya jumla ni kitu kilichowekwa mahala pasipostahili. Mfano; kuchukua kiatu chenye thamani ya laki moja ukakanyaga matope kisha kiatu kile ukakiweka juu ya kitanda cha kawaida na godoro la sufi ambacho thamani yake kwa ujumla havifiki elfu arobaini; lakini pamoja na thamani ya kiatu kuwa kubwa kuliko kitanda na godoro mtu akija atauliza huu uchafu aliyeweka hapa juu ya kitanda ni nani? Kwa nini aite kiatu cha gharama uchafu? Ni kwamba kimekaa pahala pasipostahili. Hivyo kitendo cha mwanaume au mwanamke kupokea au kupeleka manii yake pahala pasipokuwa halali yake huo ni uchafu. Kwa 
upande wa mwanaume tunapozungumzia utoaji wake wa manii ni mfinyo wa glands (tezi) za aina tano; ambao mfinyo huu unapatikana baada ya mwanaume kupata stimulation(msisimko) na hapo ndipo tezi hizi hujibinya na kutoa maji ya aina tano tofauti yanayokutana katika makende na kuchukua mbegu kisha yanatoka katika hali na rangi ambayo wengi tunaifahamu. 

Glands hizi za mwanaume zimefungwa baina ya kifua na mgogo.
Kwa mwanamke manii yake yanatoka katika Glands za aina mbili tu ambazo hizi zimefungwa katika kifua chake. Hivyo maji haya yanayotoka katika glands hizi mbili yakichanganyika na ya mwanaume jumla yanakuwa maji ya aina saba (7) yakikaa katika pahala panapokusudiwa kwa mwanamke na kwa muda maalum hapo ndipo inapopatikana mimba na kizazi cha binadamu kinaendelea. Baada ya kujua hatua ya mwanzo yanapotokea manii sasa tuingie katika hatua ya pili ya kujua je? Ndani ya manii mna kitu gani kitaalamu. Ndani ya manii mna vitu vikuu vine:
• PROTEIN
• ACID
• SPERM/CHROMOSOME
• VIRUS

PROTEIN:
Ni aina mojawapo ya “Food Substance” inayorutubisha mwili. Substance hii inapatikana ndani ya manii na pia watu wa mambo ya reproduction system (mfumo wa uzazi) wanakubali kwamba manii yanatokana na aina hii ya chakula na ndiyo maana kama una njaa shughuli ya Jimai inashindikana, au kama utajilazimisha utapata madhara.

ACID:
Ni mfano wa tindikali, yaani kitu chenye ladha ya ukali mfano ndimu. Na kitu chenye tindikali kina kawaida ya kuunguza na pia kulegeza kwa itakayompata au kumuingia, ndiyo sababu kitaalam ukimlinganisha mwanamke aliyeolewa na asiyeolewa kasha akawa hafanyi zinaa maumbile yao yanatofautiana. Yule aliyeolewa mwili wake unakuwa laini zaidi sababu ya acid inayopatikana ndani ya manii. Nitakupa mifano mingi iliyo hai ili akili yako ikubali kwamba vyote vinavyotajwa vinapatikana ndani ya manii. Ukitaka kuthibitisha zaidi acid ya katika manii ambayo inaunguza nakulegeza hata ukiwa na kidonda kibichi ukitia manii kitauma mara mbili zaidi sababu ya acid. Mfano mwingine tazama kwa wale watoto wa kiume ambao wanaingiliwa kinyume na maumbile (mashoga) hata kama zamani alikuwa strong (imara) kiasi gani akiingiliwa tu, basi analegea kuanzia kutembea, kuzungumza na kila kitu sababu ni Acid inayopatikana ndani ya manii. Pia ndio maana inakatazwa kumuingilia mwanamke anayenyonyesha sababu ukimuingilia ukamuingizia manii ambayo yana acid, acid ile itapanda katika maziwa na kuyaharibu maziwa na hapo mtoto akinyonya atanyonya maziwa yenye acid.

Itasababisha mtoto kulegea au kwa watu wa pwani wanaita kubemendwa, hivyo mtakua mmemharibu mtoto. Lakini kama atakula acid ya baba yake hatadhurika sana, sababu atakula acid ambayo kwa asili ndiyo iliyomtengeneza. Ila mkeo akiziniwa na mtu mwingine motto ataathirika sana na pengine itakuwa ni sababu ya kifo chake kwa kuwa amekula acid ambayo si ya asili kutoka kwa wazazi wake hivyo itakuwa ni POISON (sumu) kwake. Kazi kubwa ya acid kwenye manii ni kuua bacteria zisizohusika zinazopatikana wakati zikitoka kuelekea katika virginal wall.

SPERM:
Ni mbegu za kiume zinazopatikana ndani ya manii na hizi mbegu haziishi ndani ya mwili kwa sababu ya hali ya joto la mwili, kwani mtu wa kawaida ambaye haumwi anakuwa na nyuzi joto 37 hivyo mbegu zitakufa kutokana na joto la ziada. Wataalamu wa mambo ya reproduction na gynecology wanatueleza kwamba mshindo mmoja una wastani wa watoto milioni 200 hadi 300. Lakini yanayofanikiwa kulifikia yai ni mia moja tu. Na yanayofanikiwa kuingia kwa kawaida ni moja au mawili yakizidi sana manne tu, na si zaidi ya hapo, lau kama yakizidi basi ni kwa miujiza yake Mwenyezi Mungu.

VIRUS:
Hivi ni vijidudu ambavyo kila mtu anavyo vya kwake na pia haviingiliani baina ya mtu na mtu na hapa ndipo tutaeleza kwa kina madhara ya zinaa kisayansi. Lazima pia tujue kuwa Virus wanafanya kazi gani na pia wanakwenda wapi. Katika virginal wall kuna vijistomata (vitundu) maalum kwa ajili ya kupokea virus; sababu mwanaume anapotoa manii yake yenye protein,acid,sperm/­ chromosomes na virus kila kimoja huchukua nafasi yake kwenda kunapohusika. Nafasi ya virus ni kuingia katika vitundu vilivyo katika virginal wall ili vipate kuishi humo kwa kuwa ndipo alipowapangia Mwenyezi Mungu. Hivyo basi ukiwa unamuingilia mkeo na ukitoa manii basi moja kwa moja virus wako watakwenda kuingia katika vijitundu vilivyo kwenye virginal wall ili kuishi humo. Ina maana virus watakaoingia kuishi kwa mkeo ni wale ambao wamezoeana. Sasa ikija kutokea mkeo akazini na mwanaume mwingine ataingiziwa virus wasiokuwa wako.

Hivyo hawa wapya wakiingia nao pia watataka kuingia katika yale matundu ili nao wakaishi. Kwa kuwa ndivyo alivyowapangia Mwenyezi Mungu, hawa wapya wakiingia tu wale wa zamani ambao ni wa mume, watawashangaa, watajiuliza hawa nao wametokea wapi? Mbona si katika wale tuliozoeana? Kwa kushangaa huku wale virus wenyeji watawashambulia virus wageni kama antibody bacteria (kitu kinachotoka nje ya mwili). Na katika mapigano haya watapelekea
kundi moja kufa na kundi moja likifa lazima wale waliokufa watoke, watatoka vipi? Au
watatokea wapi? Jibu ni pale pale walipoingilia. Hapo sasa ndipo mtu anapoanza kutokwa uchafu. Na pia virus wapya waliosalimika wakiona wanazidi kushambuliwa na virus wa zamani itabidi  watoboe sehemu nyingine zisizohusika ili wakimbie na kujificha katika nyama laini.

Hapo ndipo mtu anapoanza kupata maumivu makali wakati wa kukojoa na pia ndio chanzo cha magonjwa mbalimbali ya zinaa, na wakati huo mume akimuingilia mkewe naye pia atapata ugonjwa wa zinaa sababu atakutana na virus wageni waliojificha kujihami katika sehemu laini zisizohusika watamuingia mume kupitia mrija wa urinary truck (mrija wa mkojo). Ndio sababu Mwenyezi Mungu akasema zinaa ni uchafu. Na uchafu unaokusudiwa ni kuchanganya mifumo tofauti ya mwili yaani mwanamke kuingiliwa na mwanaume zaidi ya mumewepekee. Na hapa ndipo tunapoona hekima ya Mwenyezi Mungu kwamba kwa nini ameamrisha mwanamke kuolewa na mwanaume mmoja na mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja. Hii ni kwa sababu mwanamke anapokea manii yenye kubeba VIRUS wa asili kutoka kwa mumewe.

Hapa ndipo inapopatikana hekima ya ya mwanamke aliyefiwa na mumewe au aleyeachwa kwa talaka lazima akae eda. Eda si tu kuangalia kama mwanamke ana mimba, bali pia katika kipindi cha miezi mine na siku kumi ambacho mwanamke anakaa eda kwa kuwa katika kipindi hicho haingiliwi ina maana wale virus watakosa protein inayopatikana katika manii ambayo ndio chakula chao, hivyo kwa kukosa chakula watakufa. Kwa hiyo katika kipindi hicho mwanamke anaandaliwa ili kama ataolewa tena na mume mwingine huyu mume mpya ajitengenezee mifumo yake mipya ambayo haitapingana na ile ya mwanzo. Hivyo Mwenyezi Mungu alipokataza ZINAA anajua kwa kina madhara yake.


Ndio sababu twasema kwamba sera bora za kupambana na magonjwa mbalimbali ya zinaa kama UKIMWI n.k dunia nzima ni kufuata UISLAM tu hakuna la zaidi. Hivyo tunapenda watu walifahamu hilo na kulifanyia kazi kwa kuwa UISLAM siyo ugaidi wala si dini ya vurugu bali ni dini ya AMANI ambayo inaweza kumfaa mtu kimwili na kiroho. Tunatoa wito kwa watu ulimwenguni kote kumuamini Mwenyezi Mungu wa kweli na Mtume wake wa karne ya sayansi na teknolojia Nabii Muhammad (S.A.W) ili kupata nusra ya mitihani mizito na majanga yanayotukumba wanadamu hivi sasa.

Tuesday, June 11, 2013

Takbirrrrrr....ALLAH AKBAR!!!!!!! MSIKITI WA MSATEKU

Muonekano wa nje wa Msikiti  na Mgahawa wa Msateku.

Ndani ya Msikiti wenyewe....panzia mbali katika madirisha na kutenganisha  upande wa wanawake

Amir Abubakari akiwa katika harakati ya kutia udhu Msikiti wetu..